BREAKING: Atletico Madrid Kurejea Upya kwa Cuti Romero – Dili Lakaribia Kukamilika!
Atletico Madrid Kurejea Upya kwa Cuti Romero: Miamba ya soka nchini Hispania, Atletico Madrid, wanajiandaa kuwasilisha ofa mpya na ya pili kwa klabu ya Tottenham Hotspur ili kumnasa beki wa kati wa kimataifa wa Argentina, Cristian ‘Cuti’ Romero, huku makubaliano yakitajwa kukaribia sana. Soma pia: EXCLUSIVE: Marcus Rashford Kubadilisha Namba ya Jezi Man United – Vaa…
