Zaidi ya Kombe la Dunia: Jinsi “Wadogo” Cape Verde Walivyoteka Mioyo ya Mashabiki wa Soka Duniani!
Cape Verde Walivyoteka Mioyo ya Mashabiki wa Soka Duniani: Kuna wakati soka linacha kuangalia matokeo ya ubao wa magoli na kuwa kitu kikubwa zaidi—hadithi ya maisha, matumaini, na msukumo wa kipekee. Hiki ndicho hasa ambacho timu ya taifa ya Cape Verde (Tubarões Azuis) imekifanya. Licha ya safari yao kufikia kikomo, ujumbe kutoka kwa mashabiki wa…
