Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex? Faida 3 ambazo Mnyama atazipata uwanja mpya
Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex: Klabu ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imetua rasmi katika himaya mpya. Kuanzia sasa, mashabiki wa Mnyama watakuwa na anwani mpya ya nyumbani kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC pamoja na michuano mingine ya ndani: Uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge, Dar es Salaam. Uamuzi huu…