Kombe la Dunia 2026: Jinsi ya Kutazama Mechi Zote za kombe la Dunia Moja Kwa Moja Tanzania
Jinsi ya Kutazama Mechi Zote za kombe la Dunia Moja Kwa Moja Tanzania: Kwa taarifa ilotufikia hivi punde ni kwamba licha ya DStv na Azam tv kuwa ndio waoneshaji wa soka la kimataifa kwa nchini Tanzania. Basi TBC yasema kuwa itaonesha mashindano ya fainali za kombe la dunia ya mwaka 2026. Hapa chini michezotz imekuchambulia…
