Kikosi Cha Kwanza Cha Simba SC Dhidi Ya Coastal Union (NBC Premier League 2026/27)
Kikosi Cha Kwanza Cha Simba SC Dhidi Ya Coastal Union: Pambano la ufunguzi wa msimu mpya wa NBC Premier League kati ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, na Wagosi wa Kaya, Coastal Union, limepamba moto. Benchi la ufundi la Simba SC limemwaga karata zake za kwanza kwa kutangaza kikosi rasmi kinachoanza kwenye mchezo huu wa…
