Bruno Fernandes ni ‘Inevitable’: Nahodha wa Man Utd Athibitisha Kiwango cha Dunia Dhidi ya Chile
Nahodha wa Man Utd Athibitisha Kiwango cha Dunia: Ulimwengu wa soka umeshuhudia tena umahiri wa kipekee kutoka kwa nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, ambaye ameendelea kuonyesha ubora wake akiwa katika majukumu ya kimataifa na timu yake ya taifa ya Portugal. Katika mchezo uliopigwa siku ya Jumamosi, Bruno alijitokeza tena kwenye orodha ya wafungaji katika…
