Mkataba wa £34M! Nottingham Forest Wamnyakua Beki wa Chuma Ousmane Diomande Kutoka Sporting CP
Nottingham Forest Wamnyakua Beki wa Chuma Ousmane Diomande Kutoka Sporting CP: Klabu ya Nottingham Forest imepiga hatua kubwa kwenye soko la usajili baada ya kufikia makubaliano kamili na miamba ya Ureno, Sporting CP, kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast, Ousmane Diomande. Usajili huu unatajwa kuwa moja ya dili kubwa na za kimkakati…