RATIBA KAMILI YA AZAM FC NBC Premier League 2026/2027
RATIBA KAMILI YA AZAM FC NBC Premier League 2026/2027: Matajiri wa Chamazi, Azam FC, wanaingia kwenye msimu mpya wa NBC Premier League 2026/2027 wakiwa na dhamira ya dhati ya kutwaa ubingwa na kuonyesha utawala wao katika soka la Bongo. Kwa mashabiki na wapenzi wa wana-lambalamba, hii hapa ndiyo ratiba kamili ya mechi zote 30 za…
