Ratiba Mechi za Ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27: (Young Africans) Katika Ligi Kuu Ya NBC Premier League 2026/27
Ratiba Mechi za Ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27: Mabingwa wa kihistoria na miamba ya soka nchini Tanzania, Young Africans SC (Yanga), wanaingia katika msimu mpya wa NBC Premier League (2026/2027) wakiwa na shauku kubwa ya kuendeleza utawala wao na kulinda heshima ya klabu hiyo yenye mashabiki wengi zaidi ukanda wa Afrika Mashariki na…
