Nguvu Moja: Simba SC na Kikosi cha Vijana Katika Mazoezi ya Pamoja Yenye Ishara ya Mafanikio
Simba SC na Kikosi cha Vijana Katika Mazoezi ya Pamoja Yenye Ishara ya Mafanikio: Katika hali ya kuimarisha umoja na maendeleo ya klabu, leo Simba SC imeweka historia ndogo kwa kuwakutanisha wachezaji wa timu ya wakubwa (Senior Team) na wale wa timu ya vijana (Simba Youth) katika mazoezi ya pamoja yaliyofanyika kwenye uwanja wa kisasa…
