Ukuta wa Chuma: Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi (Clean Sheets) na Kinachowashinda Simba na Yanga
Ukuta wa Chuma: Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi (Clean Sheets) na Kinachowashinda Simba na Yanga; Siri nzima ya Azam kuwa mbele zaidi kwa hati Safi imechambiliwa vizuri Sana na wachambuzi wako wa soka michezotz.com Soma kwa utulivu ujue jinsi gani wababe hawa wanavyo Fanya. Ushindani wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara…
