Siri ya mpasuko Real Madrid: Kwanini Valverde na Tchouameni wamepigana kuelekea El Clasico?
Siri ya mpasuko Real Madrid: valverde na tchouameni wapigana mazoezini,Zikiwa zimebaki siku tatu tu kuelekea mtanange wa kukata na shoka wa El Clasico dhidi ya Barcelona, klabu ya Real Madrid imekumbwa na dhoruba nzito inayoweza kuvuruga mipango yao ya ushindi. Taarifa za kushtua kutoka vyanzo vya kuaminika vya ESPN zimeeleza kuwa kiungo mahiri wa timu…