Ujumbe wa JayRutty Kwenye Uzinduzi wa Simba Week 2026: Miaka 90 ya Ukuu, Jezi ya Kimataifa ya Diadora, na Mapinduzi Mapya ya Msimu wa 2026/27
Ujumbe wa JayRutty Kwenye Uzinduzi wa Simba Week 2026: Klabu ya Simba Sports Club imeandika ukurasa mwingine wa dhahabu kwenye historia ya soka la Tanzania na Afrika Mashariki. Katika uzinduzi wa kishindo wa Simba Week 2026, hisia, furaha, na fahari ya Unasimba vilitawala uk ukumbi na maeneo yote ya nchi kufuatia hotuba ya kipekee na…
