Vilabu vya Saudi Arabia Vinamtaka Mohamed Salah: Je, Huu Ndio Mwisho wa Enzi Yake Liverpool?
Vilabu vya Saudi Arabia Vinamtaka Mohamed Salah: Saga ya usajili inayomuhusu Mohamed Salah, mshambuliaji nyota wa Liverpool FC, imeibuka tena na safari hii kwa nguvu kuliko misimu iliyopita. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya soka barani Ulaya na Mashariki ya Kati zinaonyesha kuwa vilabu vya Saudi Arabia vinajiandaa kutoa ofa kubwa kumshawishi Salah kuhamia katika Saudi…