Azam FC 1- 0 Simba SC : Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup 2026, Nani Kaingia Fainali?
Matokeo ya Simba vs Azam FC, Matokeo ya mechi ya Simba vs Azam FC: Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup 2026, Nani Kaingia Fainali?; Usiku wa Januari 8, 2026, Uwanja wa New Amaan Complex umeshuhudia moja ya mechi kali zaidi ya mpira wa miguu katika historia ya Afrika Mashariki na Kati. Ni “Mzizima Derby”, mchezo uliobeba…