DABI YA MAJESHI VS MNYAMA: Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex, Corazone kuongoza mashambulizi.
Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex: Soka la wanawake nchini Tanzania limefikia hatua ya kusisimua na ya kihistoria ambapo msimu huu unashuhudia ushindani mkubwa ambao haujawahi kuonekana tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League). Wakati miamba ya soka nchini ikikaribia kukatiza mstari wa mwisho wa msimu, macho na masikio…