Liverpool Yaifunga Brighton 2-0 Premier League: Ekitike Aangaza, Salah Aendelea Kuwa Mhimili wa Ushindi Anfield
Liverpool Yaifunga Brighton 2-0, Matokeo ya mechi ya Liverpool VS Brighton: Liverpool imeendelea kuonyesha uthabiti na ubora katika Ligi Kuu ya England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo uliopigwa Anfield. Ushindi huu uliamuliwa mapema kupitia bao la haraka la Hugo Ekitike katika dakika ya kwanza…