Kikosi cha Simba vs Azam Leo Mapinduzi Cup 2026 (08 Januari 2026)
Kikosi cha Simba vs Azam: Mashabiki wa soka Tanzania leo wanashuhudia moja ya mechi kubwa zaidi katika kalenda ya soka la ndani, pale vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Azam FC, wanapokutana uso kwa uso katika NMB Mapinduzi Cup 2026, leo tarehe 08 Januari 2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hii…