Skip to content

michezotz.com

  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
michezotz.com
  • Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi
    Azam FC

    Ukuta wa Chuma: Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi (Clean Sheets) na Kinachowashinda Simba na Yanga

    ByMichezotz Team June 5, 2026June 5, 2026

    Ukuta wa Chuma: Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi (Clean Sheets) na Kinachowashinda Simba na Yanga; Siri nzima ya Azam kuwa mbele zaidi kwa hati Safi imechambiliwa vizuri Sana na wachambuzi wako wa soka michezotz.com Soma kwa utulivu ujue jinsi gani wababe hawa wanavyo Fanya. Ushindani wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara…

    Read More Ukuta wa Chuma: Siri ya Azam FC Kuongoza kwa Hati Safi (Clean Sheets) na Kinachowashinda Simba na YangaContinue

  • Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex
    Simba

    DABI YA MAJESHI VS MNYAMA: Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex, Corazone kuongoza mashambulizi.

    ByMichezotz Team May 25, 2026May 25, 2026

    Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex: Soka la wanawake nchini Tanzania limefikia hatua ya kusisimua na ya kihistoria ambapo msimu huu unashuhudia ushindani mkubwa ambao haujawahi kuonekana tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League). Wakati miamba ya soka nchini ikikaribia kukatiza mstari wa mwisho wa msimu, macho na masikio…

    Read More DABI YA MAJESHI VS MNYAMA: Simba Queens kuwakaribisha JKT Queens KMC Complex, Corazone kuongoza mashambulizi.Continue

  • Okello anyakua Nyota wa Mchezo Yanga ikiichapa Namungo 3-1
    Yanga

    VITA YA MAESTRO: Chama vs Okello nani zaidi? Okello anyakua Nyota wa Mchezo Yanga ikiichapa Namungo 3-1

    ByMichezotz Team May 25, 2026May 25, 2026

    Okello anyakua Nyota wa Mchezo Yanga ikiichapa Namungo 3-1: Kwenye ushindi mnono wa mabao 3-1 walioupata Young Africans SC dhidi ya Namungo FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, macho ya wengi yalikuwa kwenye safu ya viungo wabunifu ya timu hiyo, huku gumzo kubwa likiwa ni nani aliyeing’arisha timu zaidi kati ya Clatous Chama…

    Read More VITA YA MAESTRO: Chama vs Okello nani zaidi? Okello anyakua Nyota wa Mchezo Yanga ikiichapa Namungo 3-1Continue

  • Okello anyakua Nyota wa Mchezo Yanga ikiichapa Namungo 3-1
    Yanga

    MATOKEO YA MECHI YA LEO YANGA NA NAMUNGO FC : Wananchi hawatanii! Yanga yaishindilia Namungo FC 3-1Premier League

    ByMichezotz Team May 25, 2026May 25, 2026

    MATOKEO YA MECHI YA LEO YANGA NA NAMUNGO FC : Wananchi hawatanii! Yanga yaishindilia Namungo FC 3-1Premier League. Mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) zimezidi kupamba moto baada ya mabingwa wshindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo uliopigwa leo umekuwa wa vuta nikuvute, huku Yanga…

    Read More MATOKEO YA MECHI YA LEO YANGA NA NAMUNGO FC : Wananchi hawatanii! Yanga yaishindilia Namungo FC 3-1Premier LeagueContinue

  • Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves
    Yanga

    MSHTUKO JANGWANI:Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves, makocha wawili watajwa kurithi mikoba!

    ByMichezotz Team May 7, 2026May 7, 2026

    MSHTUKO JANGWANI:Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves; Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetikisa ulimwengu wa soka nchini baada ya kutangaza rasmi kumfuta kazi Kocha wake Mkuu, Pedro Gonçalves, kuanzia leo Mei 6, 2026. Uamuzi huo umekuja kama mshtuko kwa mashabiki wengi, ikizingatiwa kuwa timu hiyo ipo katika hatua muhimu za msimu. Kupitia taarifa…

    Read More MSHTUKO JANGWANI:Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves, makocha wawili watajwa kurithi mikoba!Continue

  • Siri ya mpasuko Real Madrid
    Real Madrid

    Siri ya mpasuko Real Madrid: Kwanini Valverde na Tchouameni wamepigana kuelekea El Clasico?

    ByMichezotz Team May 7, 2026May 7, 2026

    Siri ya mpasuko Real Madrid: valverde na tchouameni wapigana mazoezini,Zikiwa zimebaki siku tatu tu kuelekea mtanange wa kukata na shoka wa El Clasico dhidi ya Barcelona, klabu ya Real Madrid imekumbwa na dhoruba nzito inayoweza kuvuruga mipango yao ya ushindi. Taarifa za kushtua kutoka vyanzo vya kuaminika vya ESPN zimeeleza kuwa kiungo mahiri wa timu…

    Read More Siri ya mpasuko Real Madrid: Kwanini Valverde na Tchouameni wamepigana kuelekea El Clasico?Continue

  • Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex
    Simba

    Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex? Faida 3 ambazo Mnyama atazipata uwanja mpya

    ByMichezotz Team May 7, 2026May 7, 2026

    Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex: Klabu ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imetua rasmi katika himaya mpya. Kuanzia sasa, mashabiki wa Mnyama watakuwa na anwani mpya ya nyumbani kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC pamoja na michuano mingine ya ndani: Uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge, Dar es Salaam. Uamuzi huu…

    Read More Kwanini Simba SC wameichagua KMC Complex? Faida 3 ambazo Mnyama atazipata uwanja mpyaContinue

  • Fountain Gate Academy Yatinga Fainali
    Yanga

    Fountain Gate Academy Yatinga Fainali: Vita ya Kusaka Wababe wa Yanga Soccer School Yapamba Moto

    ByMichezotz Team March 28, 2026March 28, 2026

    Fountain Gate Academy Yatinga Fainali: DAR ES SALAAM, Tanzania – Miamba ya soka la vijana nchini, Fountain Gate Academy, imekata tiketi ya kucheza hatua ya fainali katika mashindano ya kusaka vipaji yanayoandaliwa na Yanga Soccer School kwa kushirikiana na Emwaní. Baada ya mchuano mkali wa timu 16 bora ulioshirikisha vituo mbalimbali vya soka nchini, vijana…

    Read More Fountain Gate Academy Yatinga Fainali: Vita ya Kusaka Wababe wa Yanga Soccer School Yapamba MotoContinue

  • 16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026
    Yanga

    Vita ya Kusaka Vipaji: Hawa Hapa Wababe wa 16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026

    ByMichezotz Team March 28, 2026March 28, 2026

    16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026: Mchuano wa kusaka vipaji vya soka nchini Tanzania umepamba moto! Baada ya hatua za awali za kusisimua, Yanga Soccer School kwa kushirikiana na Emwaní wametangaza ratiba rasmi ya hatua ya mtoano (Elimination Stage), ambapo timu 16 bora zinakutana uso kwa uso kuelekea fainali kuu. Kutoka mitaa ya…

    Read More Vita ya Kusaka Vipaji: Hawa Hapa Wababe wa 16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026Continue

  • Mashujaa na KMC Wagawana Pointi Baada ya Sare ya 0-0
    Sports

    Mashujaa na KMC Wagawana Pointi Baada ya Sare ya 0-0 Ligi Kuu

    ByMichezotz Team February 6, 2026February 6, 2026

    Mashujaa na KMC Wagawana Pointi Baada ya Sare ya 0-0:  Mchezo wa NBC Premier League uliowakutanisha Mashujaa FC na KMC FC umeisha bila mshindi, baada ya timu hizo kutoka sare ya bila kufungana 0-0 katika pambano lililochezwa Februari 6, 2026. Licha ya kukosa mabao, mchezo huo haukuwa mwepesi wala wa kuchosha, kwani ulijaa mapambano makali,…

    Read More Mashujaa na KMC Wagawana Pointi Baada ya Sare ya 0-0 Ligi KuuContinue

Page navigation

Previous PagePrevious 1 2 3 4 5 … 28 Next PageNext

© 2026 michezotz.com - WordPress Theme by Kadence WP

  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy