Vita ya Kusaka Vipaji: Hawa Hapa Wababe wa 16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026
16 Bora Mashindano ya Yanga Soccer School 2026: Mchuano wa kusaka vipaji vya soka nchini Tanzania umepamba moto! Baada ya hatua za awali za kusisimua, Yanga Soccer School kwa kushirikiana na Emwaní wametangaza ratiba rasmi ya hatua ya mtoano (Elimination Stage), ambapo timu 16 bora zinakutana uso kwa uso kuelekea fainali kuu. Kutoka mitaa ya…