AC Milan Wafikia Hatua za Mwisho Kumsajili Niklas Füllkrug

BREAKING: AC Milan Wafikia Hatua za Mwisho Kumsajili Niklas Füllkrug – Straika Mjerumani Aipa Kipaumbele Rossoneri

AC Milan Wafikia Hatua za Mwisho Kumsajili Niklas Füllkrug: Soko la usajili barani Ulaya limeanza kupamba moto kuelekea dirisha la usajili la Januari, na moja ya habari kubwa zinazotikisa vyombo vya habari vya michezo ni hatua za juu zilizofikiwa na AC Milan katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ujerumani, Niklas Füllkrug….

Read More