OFFICIAL: Al Ahly Yatoa Tamko Zito kwa CAF – Haki, Usalama na VAR CAF Champions League Ziwe Lazima!
Al Ahly Yatoa Tamko Zito kwa CAF: Al Ahly SC, klabu kubwa zaidi barani Afrika kwa mafanikio ya kimataifa, imechukua hatua rasmi mbele ya CAF baada ya matukio ya utata yaliyotokea kwenye Matchday 2 ya hatua ya makundi CAF Champions League. Barua yao ya malalamiko na mapendekezo sio press release ya kawaida – ni msimamo…