Arda Güler na Mbappe: Ushirikiano Mpya Unaotikisa Real Madrid
Arda Güler na Mbappe: Katika msimu huu wa 2024/2025, vijana wameendelea kuandika historia mpya katika soka la kiwango cha juu. Miongoni mwao, jina moja limekuwa likizidi kung’ara kwa kasi ya kimya kimya lakini yenye uzito mkubwa; Arda Güler. Kiungo huyu kinda wa Real Madrid ameweka alama ambayo mashabiki na wachambuzi wa soka hawataisahau haraka baada…