Arsenal Yaendelea Kutamba! Ushindi wa 2–0 Dhidi ya Brentford Wathibitisha Kwa Nini Wanastahili Kileleni – Uchambuzi Kamili wa Mechi ya Premier League (03/12/2025)
Arsenal Yaendelea Kutamba! Ushindi wa 2–0 Dhidi ya Brentford, Matokeo ya mechi ya Arsenal Vs Brentford: Arsenal imethibitisha tena kuwa timu iliyo kwenye kasi kubwa msimu huu, baada ya kupata ushindi muhimu wa 2–0 dhidi ya Brentford katika dimba la Emirates Stadium. Bao la mapema la Mikel Merino na lile la kuchelewa la Bukayo Saka…