Bajeti ya Simba SC 2025/2026

Bajeti ya Simba SC 2025/2026: Kuijenga Klabu Imara Ndani na Nje ya Uwanja

Bajeti ya Simba SC 2025/2026: Simba Sports Club, moja ya klabu zinazojulikana zaidi Tanzania na Afrika Mashariki, imeanza kuonyesha ishara za ukuaji endelevu kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kwa mujibu wa kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Simba SC, @SuleimanKahumbu, klabu imepanga bajeti inayolenga kukusanya Tsh 29,555,207,704 na kutumia Tsh 27,161,824,254 kwa mpangilio wa matumizi mbalimbali….

Read More