Barcelona Yaitandika Eintracht Frankfurt 2–1

Barcelona Yaitandika Eintracht Frankfurt 2–1: Matokeo ya mechi ya Barcelona na Eintracht Frankfurt, Stats, Magoli

Barcelona Yaitandika Eintracht Frankfurt 2–1: Matokeo ya mechi ya Barcelona na Eintracht Frankfurt, Stats, Magoli,Takwimu: Barcelona imeendelea kuonyesha ubora na nguvu ya kurejea kwenye ramani ya soka la Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya Eintracht Frankfurt katika mchezo mkali wa UEFA Champions League. Huu ni ushindi unaothibitisha uimara wa kikosi…

Read More