Bei za Tiketi ya Mechi ya Simba SC vs Azam FC Jumapili, Desemba 7, 2025-Bei ya viingilio vya Mechi ya Simba SC vs Azam FC
Bei za Tiketi ya Mechi ya Simba SC vs Azam FC, Bei ya viingilio vya Mechi ya Simba SC vs Azam: Shime kwa mashabiki wa soka kote nchini! Pambano kubwa la NBC Premier League lipo mlangoni. Simba Sports Club wanakabiliwa na wapinzani wao wa jadi, Azam Football Club, katika mchezo ambao kwa uhakika utasimamisha shughuli…