Bryan Mbeumo Aiongoza Manchester United Katika Takwimu Muhimu

Bryan Mbeumo Aiongoza Manchester United Katika Takwimu Muhimu: Je, Ndiyo Mchezaji Anayehitajika Kurejesha Hadhi ya Mashetani Wekundu?

Bryan Mbeumo Aiongoza Manchester United Katika Takwimu Muhimu: Msimu huu wa Ligi Kuu Uingereza umeibua maswali mengi kuhusu mwelekeo wa Manchester United na hatma ya kikosi kipya cha kocha wao. Lakini katikati ya gumzo, lawama, na presha ya matokeo, jina moja limekuwa likiangazia mwanga mpya: Bryan Mbeumo. Tangu alipojiunga na Mashetani Wekundu, mchezaji huyu kutoka…

Read More