CAF Yabadili Ratiba ya AFCON

BREAKING: CAF Yabadili Ratiba ya AFCON, Mashindano Kufanyika Kila Miaka 4 Kuanzia 2029

CAF Yabadili Ratiba ya AFCON: Rais wa CAF, Patrice Motsepe, ametangaza mabadiliko makubwa katika historia ya soka barani Afrika, baada ya kuthibitisha kuwa AFCON sasa itakuwa ikifanyika kila baada ya miaka minne kuanzia mwaka 2029. Uamuzi huu unakuja baada ya toleo la AFCON 2028, huku mashindano ya 2029 yakisogezwa mbele kwa mwaka mmoja ili kuweka…

Read More