Chelsea Waingia Kwenye Vita ya Kumuwania Mohamed Zongo – Kijana Hatari wa Burkina Faso Aliyeng’ara Kombe la Dunia U17
Chelsea Waingia Kwenye Vita ya Kumuwania Mohamed Zongo: Soko la usajili barani Ulaya limeendelea kuwa jukwaa la vipaji vipya kuvutia macho ya vigogo wa soka duniani. Katika siku za karibuni, jina moja limekuwa likitajwa na kusikika kila kona ya vichwa vya habari: Mohamed Zongo, kijana hatari wa Burkina Faso mwenye umri wa miaka 16 tu….