Clatous Chota Chama ‘Triple C’ Arudi Simba SC

KARIBU TENA NYUMBANI: Clatous Chota Chama ‘Triple C’ Arudi Simba SC kwa Moyo Wot

Clatous Chota Chama ‘Triple C’ Arudi Simba SC: Hatimaye kile ambacho mashabiki wengi wa soka la Tanzania, hususan wale wa Msimbazi, walikuwa wakikisubiri kwa hamu kimefanyika. Clatous Chota Chama amerudi rasmi ndani ya Simba Sports Club, na kurejesha tabasamu, matumaini na kumbukumbu nyingi tamu ndani ya mioyo ya Wanasimba. Kauli yake moja imetosha kueleza kila…

Read More