Cunha Apigwa benchi Mechi dhidi ya Everton: Man United Wamgeukia Zirkzee Kama Mkombozi
Cunha Apigwa benchi Mechi dhidi ya Everton: Manchester United imepata pigo kuelekea mchezo wao muhimu wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Everton, baada ya kuthibitishwa kuwa mshambuliaji Matheus Cunha hatacheza kutokana na majeraha madogo aliyopata kwenye mazoezi. Tukio hilo limemfanya kocha kuchukua hatua za tahadhari na kumpumzisha nyota huyo, huku Joshua Zirkzee akipewa nafasi…