FIFA Yapunguza Msimamo Wake

FIFA Yapunguza Msimamo Wake: Vilabu Kuruhusiwa Kuwachelewesha Wachezaji wa Afrika Hadi 15 Desemba

FIFA Yapunguza Msimamo Wake: Michuano ya AFCON 2025 inakaribia na tayari kunawaka moto si tu ndani ya uwanja, bali pia kwenye meza za maamuzi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka MailSport, FIFA imeamua kupunguza msimamo wake wa muda mrefu kuhusu tarehe za kuachia wachezaji wanaocheza Ulaya kuelekea kwenye michuano hiyo. Kwa kawaida, FIFA hulazimisha vilabu kuwaachia…

Read More