Benzema Aonyesha Nia ya Kurudi Real Madrid – Lakini Kwa Sharti Moja Tu
Benzema Aonyesha Nia ya Kurudi Real Madrid: Baada ya miaka mingi ya kuwa mmoja wa nyota wakubwa Bernabeu, Karim Benzema aliondoka Real Madrid akiwa amevunja rekodi, amebeba mataji, na kuacha kumbukumbu nzito katika historia ya klabu hiyo. Mshambuliaji huyo Mfaransa, ambaye kwa sasa ni tegemeo kubwa katika soka la Saudi Arabia, amefunguka kuhusu jambo ambalo…