BREAKING: Hatima ya Xabi Alonso Real Madrid Yatingishika – Hali Yazidi Kuwa Tete Bernabéu
Hatima ya Xabi Alonso Real Madrid Yatingishika: Asubuhi ya leo jijini Madrid imeamkia tetemeko kubwa la habari baada ya kufichuka kuwa kumefanyika kikao cha dharura katika Uwanja wa Santiago Bernabéu kujadili mustakabali wa kocha wa Real Madrid, Xabi Alonso. Taarifa kutoka ndani ya klabu zinaeleza kuwa maoni yamegawanyika vibaya kuhusu kama aendelee kuinoa timu ama…