Hatua Mpya Kwa Mashabiki wa Barcelona Tanzania, Kilichotangazwa Kimezua Gumzo Kubwa
Hatua Mpya Kwa Mashabiki wa Barcelona Tanzania: Mashabiki wa klabu ya FC Barcelona nchini Tanzania wameamka na habari kubwa ambayo imeanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya soka. Hatua iliyotangazwa hivi karibuni imechukuliwa kama mwanzo mpya kwa jamii ya mashabiki wa Barcelona nchini, jambo ambalo halijawahi kushuhudiwa kwa kiwango hiki hapo…