Cristiano Ronaldo Aingia Ulimwengu wa Kibiashara Madrid

Cristiano Ronaldo Aingia Ulimwengu wa Kibiashara Madrid: Klabu ya Kifahari Isiyoruhusu Simu Ndani

Cristiano Ronaldo Aingia Ulimwengu wa Kibiashara Madrid: Cristiano Ronaldo, mmoja wa mastaa wakubwa wa soka duniani, ameanza rasmi safari mpya ya kibiashara inayohusiana na maisha yake baada ya soka. Ripoti kutoka Hispania zinaeleza kuwa staa huyo anaanda uzinduzi wa private members club jijini Madrid, mradi wa kifahari uliolenga hadhi ya juu, ubunifu, utulivu wa kipekee…

Read More