Inter Yashindwa Kwa Bao 1-0 Dhidi ya AC Milan: Derby ya Milano Yatawaliwa na Umwamba wa Pulisic na Maignan
Inter Yashindwa Kwa Bao 1-0 Dhidi ya AC Milan: Derby della Madonnina kati ya Inter Milan na AC Milan iliyochezwa tarehe 23 Novemba 2025 katika uwanja wa San Siro/Giuseppe Meazza ilikuwa moja ya michezo iliyovuta macho ya mashabiki duniani kote. Mechi hii, sehemu ya Serie A Round 12, ilimalizika kwa AC Milan kuibuka na ushindi…