Kikosi cha Mechi ya Fulham Dhidi ya Manchester City : Leo 02/12/2025
Kikosi cha Mechi ya Fulham Dhidi ya Manchester City: Mechi kati ya Fulham na Manchester City ndiyo moja kati ya michezo inayovutia zaidi leo katika Ligi Kuu ya England. Manchester City, mabingwa watetezi na moja ya timu bora zaidi duniani kwa sasa, wanakwenda Craven Cottage kukutana na Fulham ambao kwa msimu huu wamekuwa na mwendelezo…