Kinachoendelea Kwenye Mbio za Mabao NBC Premier League

Bao Moja Lazua Msimamo Mpya, Kinachoendelea Kwenye Mbio za Mabao NBC Premier League

Kinachoendelea Kwenye Mbio za Mabao NBC Premier League: Mashindano ya NBC Premier League msimu wa 2025/2026 yanaendelea kuonyesha sura halisi ya ushindani, hasa kwenye mbio za ufungaji mabao, ambako tofauti kati ya wanaoongoza imekuwa ndogo kiasi cha kufanya kila mechi ibebe uzito mkubwa. Kwa sasa, mshambuliaji wa JKT Tanzania, Salehe Karabaka, ndiye anayeshika nafasi ya…

Read More