Kiungo wa Zamani wa Yanga SC, Chico Ushindi Afariki Dunia Akiwa DR Congo
Kiungo wa Zamani wa Yanga SC, Chico Ushindi Afariki Dunia: Tasnia ya soka Afrika na mashabiki wa klabu ya Young Africans SC wamepigwa na mshtuko mkubwa kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa kiungo wao wa zamani, Chico Ushindi, aliyefariki dunia leo Jumamosi, Desemba 13, 2025, akiwa nyumbani kwao nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)….