Rekodi ya Ronaldo ya 17 UCL Mashakani? 2025/26 Yazindua Rasmi Enzi ya Mbappe
Rekodi ya Ronaldo ya 17 UCL Mashakani: Katika historia ya UEFA Champions League, hakuna msimu uliowahi kushuhudia ubora binafsi kama ule wa Cristiano Ronaldo mwaka 2013/14 alipofunga mabao 17 katika mechi 11 – wastani ambao hadi leo haujafikiwa na mchezaji yeyote. Hiyo si namba tu, bali ni alama ya utawala, uthabiti na uwezo wa kuibeba…