Lamine Yamal Aahidi Kombe la Dunia Kurejea Hispania
Lamine Yamal Aahidi Kombe la Dunia Kurejea Hispania: Kimya kimya kizazi kipya cha soka kimeanza kutawala mioyo ya mashabiki duniani. Katika kundi hilo, jina Lamine Yamal limekuwa juu kuliko matarajio mengi. Wakati mastaa wazoefu wakiheshimika kwa mafanikio yao yaliyopita, kinda huyu wa Hispania anajenga simulizi yake mwenyewe kwa umri mdogo mno. Kauli yake ya kuahidi…