TETESI: Liverpool Wamtupia Jicho Eduardo Camavinga – Je, Nyota wa Real Madrid Atatafuta Mwanzo Mpya?
Liverpool Wamtupia Jicho Eduardo Camavinga: Dirisha la usajili la Januari linakaribia kufunguliwa, na tayari tetesi kubwa zimeanza kuchukua nafasi katika vichwa vya habari vya soka Ulaya. Miongoni mwa habari kubwa zaidi ni madai kuwa Liverpool wanataka kumsajili kiungo wa Real Madrid, Eduardo Camavinga, mwenye umri wa miaka 23, katika dirisha la Januari. Soma pia: Breaking News:…