Manchester City Yaikung’uta Real Madrid 2-1: Matokeo na ya mechi ,Magoli na Takwimu
Manchester City Yaikung’uta Real Madrid 2-1, Matokeo na ya mechi ya Manchester City na Real Madrid: Mechi ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya 2025/26 kati ya Real Madrid na Manchester City ilimalizika kwa ushindi wa Manchester City 2-1 uwanjani Santiago Bernabéu. Mechi hii ilijaa msisimko, mbinu za kisasa, na historia ya soka la Ulaya kuonyesha…