Makundi ya Kombe AFCON 2025: Makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025
Makundi ya Kombe AFCON 2025, Makundi ya AFCON 2025/2026: Droo ya hatua ya makundi ya Africa Cup of Nations 2025 imefungua rasmi ukurasa mpya wa ushindani mkali wa soka barani Afrika. Mashindano haya makubwa yatafanyika nchini Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026, yakishirikisha timu 24 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Katika makala…