Marcus Rashford Hayumo Kwenye Mpango wa Barcelona 2026

BREAKING NEWS: Marcus Rashford Hayumo Kwenye Mpango wa Barcelona 2026 – Klabu Yazungumzia Wabadala Wanaoweza Kuchukua Nafasi Yake

Marcus Rashford Hayumo Kwenye Mpango wa Barcelona 2026: Taarifa mpya kutoka vyombo vya habari vya Michezo barani Ulaya zimeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa Marcus Rashford ndani ya FC Barcelona. Ripoti zinaeleza wazi kwamba Barcelona hawana mpango wa kumbakiza mshambuliaji huyo wa England baada ya mkopo wake kumalizika mwezi Julai 2026. Hii ni habari ambayo…

Read More