Chelsea Yaifunga Everton 2-0: Palmer na Gusto Waongoza Ushindi wa Kishindo Stamford Bridge
Chelsea Yaifunga Everton 2-0, Matokeo ya mechi ya Chelsea Vs Everton: Chelsea imeendelea kuonyesha dalili za kuimarika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa Stamford Bridge. Mabao ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Cole Palmer na Malo Gusto yalitosha kuwapa The Blues pointi zote…