MATOKEO YA MECHI YA LEO YANGA NA NAMUNGO FC : Wananchi hawatanii! Yanga yaishindilia Namungo FC 3-1Premier League
MATOKEO YA MECHI YA LEO YANGA NA NAMUNGO FC : Wananchi hawatanii! Yanga yaishindilia Namungo FC 3-1Premier League. Mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) zimezidi kupamba moto baada ya mabingwa wshindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo uliopigwa leo umekuwa wa vuta nikuvute, huku Yanga…