Matokeo ya Mechi ya Simba SC Dhidi Mbeya City FC – Ushindi Mzito Katika Ligi Kuu ya NBC Premier League
Matokeo ya Mechi ya Simba SC Dhidi Mbeya City FC: Mechi kati ya Simba SC na Mbeya City FC iliyochezwa tarehe 04 Desemba 2025, imeacha gumzo kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Mchezo huu ulikuwa wa Raundi ya 12 ya NBC Premier League, ukifanyika katika uwanja uliojaa kelele za mashabiki waliotamani kuona mwendelezo wa ushindani…